Ukiwa wewe ni Mtanzania unaeutakia mema Muungano unasemaje juu ya Muundo wa serikali. Mimi maon yangu serikali iwe Moja tu, sio tatu au mbili kama ilivyo sasa sababu ninazo. Je wewe
Serikali moja sababu rahisi kabisa ni Tanganyika na Zanzibar ziliungana kutengeneza kitu kimoja sio vitu viwili au vitatu, huo sio muungano ndio maana Mwalimu alichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar ukawa kitu kimoja kuashiria Muungano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.