Ndungu wabunge nawaomba suala hili la muungano msimamie serikali moja kwa wale wabunge wanaodhamini undugu wetu yani Tanganyika na Zanzabar, kwa wale wasiotaka kupoteza utaifa wao wasimamie serikali Tatu yaani zanzibar wawe na serikali yao na Tanganyika wawe na serikali yao alafu tuwe na serikali ya ubia Tanganyika na Zanzibar.habari ya serikali mbili haielezeki maana lazima nchi moja ipoteze utaifa wao,ni wabunge vilaza wa ccm tu, ndio wako tayari kupoteza utaifa wao,sisi watanganyika hatuko tayari kuendelea kupoteza utaifa wetu labda Wazanzibar wao waseme kwamba kuwe na serikali ya Tanganyika na ya muungano yaani wao wasiwe na serikali kama ilivyo sasa,hayo ndio mawazo yenye busara vinginevyo ni bora muungano ufe