Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Natamani zanzibar tuachiwe tupumuwe
natamani zanzibar iwe huru kutoka kwenye ukoloni wakitanganyika
iwe na mamlaka kamili ya kitaifa na kimataifa
zanzibar iwe na kiti chake umoja wa kimataifa
natamani mashekhe wetu waachiwe na waendelee kufanya harakati za ukombozi wa zanzibar
natamani rais sheni apandishwe the heague ahukumiwe kwa kosa la mauaji ya raia wake.
Natamani watanganyika nao wawe na imani na zanzibar ili ijitoe kwenye ukoloni wao.
Matanio mengine ni pasua kichwa???? Hivi kutamani Wasira azae na mama Mkapa kuna logic kweli????
NATAMANI NIONE YESU AKIJA KUNYAKUA WATEULE WAKE:whoo::amen:
Matanio mengine ni pasua kichwa???? Hivi kutamani Wasira azae na mama Mkapa kuna logic kweli????
Natamani ban ya Eliah G Kamwela iwe lifted.