Je unatambua kuwa simu yako ya mkononi ni chafu kuliko choo

Je unatambua kuwa simu yako ya mkononi ni chafu kuliko choo

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
408
Utafiti uliofanywa huko UK umegundua kuwa watu wengi tunazingatia kunawa mikono baada ya kutoka chooni na kusahau kuwa hata simu zetu za mkononi ni chafu na zina bakteria. Soma hapa POPOTE TZ
 
Njia nzuri ni kutoingia chooni na simu zetu. Au ukiingia nayo usiitoe mfukoni.
 
Du kweli nimekubali kumbe hata sm pia ni hatari.tunashukulu kwa kutujuza
 
Utafiti uliofanywa huko UK umegundua kuwa watu wengi tunazingatia kunawa mikono baada ya kutoka chooni na kusahau kuwa hata simu zetu za mkononi ni chafu na zina bakteria. Soma hapa [url=http://quicknek.blogspot.com/2011/10/je-unatambua-kuwa-simu-yako-ya-mkononi Mi najua meza za maofisini ndiyo chafu kuliko vyoo!!
 
Back
Top Bottom