Je, unatatizo au unataka kujifunza?

Je, unatatizo au unataka kujifunza?

peter msuku

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
7
Reaction score
5
Screenshot_20220608-104051.png

Katika kipindi ambacho technology iko Kasi pia fursa nyingi zinafunguka kwa vijana wanaoitaji kujiajiri.
Saan agency tunakupa mafunzo yatakayo kufanya uweze kujiajiri mwenyewe.
1. Tutakufundisha matatizo mbalimbali yanayoikumba computer au simu yako upande wa software na hardware na jinsi gani ya kufix matatizo hayo.

2. Computer network. Tutakufundisha na kukupa uelewa kuhusu computer network, jinsi gani inaweza kufanya setup network na inafanyaje kazi lakini pia matatizo yanayoweza kujitokeza na kuweza kufix.

3. Kuflash simu mbalimbali, tutakufundisha namba Bora ya kuflash simu tutakupa tools utakazo zitumia kuflash simu na mbinu mbalimbali za kuflash simu.

Na kazi zote za computer wasiliana nasi.
 
Kwanini mfundishe?badala ya kutengeneza hivyo vifaa?yaani nyie wabobezi,msifungue shule,fungueni kalakana,tengenezeni hizo Android device,computers,nk.

This is very tiring, kuna waalimu wengi kuliko wanafunzi,Kuna kipindi kulikuwa na "motivational speakers"wengi kuliko watu wa "ku motivate"sasa unajiuliza Hawa wanafundisha motivation ya ujasiliamali wakati hawana hata genge,hawajawahi hata kuuza vocha,totally clap.

Bora ukafundishwe mechanics na fundi gereji kuliko,mwanazuoni aliyejaa nadharia kibao kichwani.
 
Kwanini mfundishe?badala ya kutengeneza hivyo vifaa?yaani nyie wabobezi,msifungue shule,fungueni kalakana,tengenezeni hizo Android device,computers,nk...
It's normal tunafanya na tunafundisha nothing wrong
 
Kwanini mfundishe?badala ya kutengeneza hivyo vifaa?yaani nyie wabobezi,msifungue shule,fungueni kalakana,tengenezeni hizo Android device,computers,nk.

This is very tiring, kuna waalimu wengi kuliko wanafunzi,Kuna kipindi kulikuwa na "motivational speakers"wengi kuliko watu wa "ku motivate"sasa unajiuliza Hawa wanafundisha motivation ya ujasiliamali wakati hawana hata genge,hawajawahi hata kuuza vocha,totally clap.

Bora ukafundishwe mechanics na fundi gereji kuliko,mwanazuoni aliyejaa nadharia kibao kichwani.
Tufafika Mbinguni tumechoka.
 
Back
Top Bottom