Speaking for myself as a developer, ayo maelezo yanaeleweka labda kilicho miss ni link tu ya iyo website yenu Bongo Live | Bulk SMS and Mobile Solutions Provider In Tanzania | AfricaSijaeleweka wapi dear so I can clarify?
Nilisoma rules nikaona wanakataza kuweka link that's why sikuwekaSpeaking for myself as a developer, ayo maelezo yanaeleweka labda kilicho miss ni link tu ya iyo website yenu Bongo Live | Bulk SMS and Mobile Solutions Provider In Tanzania | Africa
Bad for me than 😀Nilisoma rules nikaona wanakataza kuweka link that's why sikuweka
Ungeweka na idadi ya Test SMS mtu anapewa kwa kila akaunti, credentials za aina gani anahitaji kuwa nazo ili kupata akaunti, makato kama yapo kila mwezi na kama kuna expiry kwenye sms anazonununua.Sijaeleweka wapi dear so I can clarify?
Okay this is well noted ahsante, nitaadd maelezo zaidi kwenye next thread mkuu ila to get started user anasign up tu kwa kuweka emails, phone no, username ili kupata account then anawekewa 10sms kwenye account. Yes makato yapo utakapoanza kutuma SMS ambapo kila SMS ni Tsh 25Tsh na bei inakua inapungua kulingana na kiwango cha SMS utakazokua unanunua. SMS zinakaa 1 year ndo zinaexpire na SMS zinaisha pia kulingana na matumiziUngeweka na idadi ya Test SMS mtu anapewa kwa kila akaunti, credentials za aina gani anahitaji kuwa nazo ili kupata akaunti, makato kama yapo kila mwezi na kama kuna expiry kwenye sms anazonununua.
Few things I can think on the top of my head...
Api ni bure ila utalipia sms tu na ni very cheap, data ambazo unaeza retrieve ni nyingi unaeza pitia documentation hapa Loading...Sijaelewa mkuu. Nina retrieve data gani kutoka kwenye hizo Api's?.Na je ni bure?
Hapo kwenye kuweka namba ya simu nadhani mnaenda too far prematurely. Imagine mtu anataka ku test na hana uhakika then unakwambia aji commit na kuweka that much details. Ingekuwa vyema namba ya simu ikawa kwa wale ambao wameamua kutumia huduma yenu. Ita boost number ya testers hence potential customersOkay this is well noted ahsante, nitaadd maelezo zaidi kwenye next thread mkuu ila to get started user anasign up tu kwa kuweka emails, phone no, username ili kupata account then anawekewa 10sms kwenye account. Yes makato yapo utakapoanza kutuma SMS ambapo kila SMS ni Tsh 25Tsh na bei inakua inapungua kulingana na kiwango cha SMS utakazokua unanunua. SMS zinakaa 1 year ndo zinaexpire na SMS zinaisha pia kulingana na matumizi