INAUZWA Je, unateseka kufua? Mini washing Machine (Mashine za Kufulia) zipo kwa ajili yako kwa bei rahisi mno

INAUZWA Je, unateseka kufua? Mini washing Machine (Mashine za Kufulia) zipo kwa ajili yako kwa bei rahisi mno

bayankata

Member
Joined
May 6, 2021
Posts
38
Reaction score
39
Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu.
Ni za kilo 3.5 mpaka kilo 4
Mtu yoyote anaweza ku afford
Bei ni tsh 120,000 tu.
Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba.
Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana
Kwa 0772835536.
Karibuni sana wateja

b5276390-b66b-4082-a6b7-5edaf6b0d864.jpeg

 
Wewe ni nani?
Ukitumia wewe ndo assurance ya ubora?
Tushawishi tununue bosi.
Hii ina uwezo wa kufua mashuka? Au mwisho soksi na boxer?
Umeme mdogo unapimwaje?

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
1. Mimi ni mtu ambaye tayari nimeshatumia hii product.
2.Huwezi kujua ubora wa bidhaa kwa kuangalia pekee bali lazima utumie pia
3. Shuka unaweza lakini pia ukumbuke hii ni mini washing mashine kwahiyo kuna limit ya wingi wa nguo
4. Nguo za aina zote unafua
5. Baada ya kufua naangalia nimetumia unit ngapi zimetumika nikaweza kugundua

Pia unaweza kuangalia kwenye video niliyoiweka ili kujiridhisha
 
Back
Top Bottom