Je, unatumia njia gani kuweka akiba ya kipato chako?

Saving acc. Ni kwa benki hipi mzee na je kama mimi mshahara wangu kama haupitii benki hapo inakuaje

Nafikiri bank zote zina access hiyo ila kama huna hapo inabidi ufungue account kwenye bank nzuri ambayo haina faida kubwa
Pita bank zote na uliza terms zao zikoje
 
Siku hizi biashara ya guest imekuwa ngumu sana mkuu kuna lodge kama mbili jamaa kaamua kufanya vyumba vya kupanga ty
For sure ..hata kino mitaa ya karibu na american chips Kuna lodge pale now imekua nyumba ya kupanga
 
Mkuu weka Bank


Kwan kuna tatizo gani


Fungua account


Weka pesa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…