Je, unaufahamu mfuko wa Shangazi Kaja?

Je, unaufahamu mfuko wa Shangazi Kaja?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Kama unavyofahamika na wengi mfuko wa shangazi kaja hutumika kwa kubebea vitu mbalimbali either bidhaa ndogondogo za majumbani, sokoni, madukani n.k

Lakini tuambizane kwenye upande wa fedha, unadhani au kufikiri mfuko mkubwa kabisa wa shangazi kaja unaweza kubeba kiasi gani cha pesa kwa pesa yetu ya madafu kama zikiwekwa elfu kumi kumi tu.

"Thread already"!
 
Back
Top Bottom