Je, unawajua CROWN AGENTS?

mmh kaazi kweli kweli we are surrounded in unknown circumstances.....hata huu ufisadi cjui kama itakuwa rahisi kuumaliza...
 

Sijui unachombishia mwenzako bwana phares nunua vitabu hivyo soma kisha rudi jamvini ndiyo uanze ligi unataka akupe mstari mmoja nao utabisha tu hebu kuwa mstaarabu soma kila kila kitu kaka
 
Its the power of consciousnesses that matters and unfortunately we have less of it! How do you develop it? engage to a good war, personal, local or international, a war that produce pains and suffering, endure the pains, overcome the pains, suffer it and you have a good portion of consciousness of which to rule your country etc ... No other deal dialing tacts like politics and all other sorts of lecture and preaching ...! Those tools real doesn't work!

Yes we must overcome an organized pains or a war with magnitude of world wars !!

Are you read for that ...

Otherwise SSshhhhh!! Keep quite ... "simply give in" to this local and international thugs !!
 

Mkuu unayosema humu ni ya kweli na una-risk maisha yako, nakumbuka IRA walikuwa wana hire malori na kuweka timer ya kuwashia rockets zenye mabomu, jengo hili na la 10 downing street yalikuwa yanalengwa sana; IRA walikuwa awafanyi mambo ya kubahatisha walijua wanacho kitafuta, kitu watu wanacho sahau ni kwamba magazeti ni part ya mkono wa watu wa intelijensia mambo ya kuambia na media hizo unapashwa kuchanganya na za kwako siyo unazimeza tu RAW.

Mimi nakushauri ulicho twambia kinatosha usije ukahatarisha maisha yako, group hili liko so mean wanaweza kuku-track down ukapata matatizo makubwa sana, lead uliyo tupa inatosha yaliyo baki tutatafuta wenyewe. Kila la kheri.
 
MKUU KAZII KWELI KWELI, NAPITA TU, MARA SOAS MARA M16. kwani uingereza kuna mashirika mangapi ya ujasusi.. M5? M16? SIS?...?

Hawatoi idadi kamili, kwa sababu za kiusalama zaidi.
 
I might sound naive but ukweli ni kwamba the CROWN AGENTS undertakings in short are evil. Uovu una mwisho. Nchi yetu Tanzania tusikubali kuendeshwa na maharamia hawa. Wananchi wapatiwe kwa kiasi kikubwa elimu ya uraia sambamba na elimu katika ujumla wake ili tujitambue sisi ni nani. Viongozi wanaokubali kupelekeshwa na huu mtandao ni kwa sababu ya kuwa na tatizo la kutokujitambua (identity crisis syndrome) na kutokujiamini. Watakapoingia madarakani viongozi wenye kujitambua wanaotokana na wananchi wenye kujitambua ufisadi utapata dawa yake.
 
Hii nchi kuna mambo mengi sana.
 
Ama kweli tumekwisha inawezekana huu ufisadi ni siku nyingi na mashirika kama haya yapo mengi sana ulimwenguni na yanaoperate tanzania. Kuna consiprancy theory zinazoendelea na kusababisha nchi za africa ziendelee kuwa masikini kila siku.
Mkuu hapo umenena, hawa jamaa wapo muda mrefu sana na ndo hao wanaofanya bara la Africa lishindwe kufikia maendeleo ya juu ulimwenguni kama nothern America and Europe. Hawa jamaa wametapakaa katika nchi nyingi sana wakishirikiana na viongozi under so called conspiracy theories. Tatizo ni kua hakuna viongozi ambao wako full committed to their people kuwaletea maendeleo. Kila anakua madarakani anataka ajilimbikizie mali, kwa staili hii Tanzania hatutatoka katika shimo hili la umasikini daima.
 

The confessions of Economic Hit Man (EHM). Ni bonge la kitabu ambalo limewachana washkaji wazi wazi na global empire yao. siku moja nitakiweka hapa jamvini
 
We need to share intelligence with these guys, in other words we need them just as much as they need us. The cost of fighting them may be somehow higher than the benefit we might get by cutting them out.

My views has always been that we need a good structure of the government and administrative bodies to be able to stand pressure from these organizations and cartels like EO. We also need to build capacity for our people to understand that life is more than food and drinks. sababu watu wetu walio wengi hawanyanyui macho kuona zaidi ya njaa zao binafsi.

Ndio maana hata ukiangalia kiasi cha rushwa zinazotolewa kwa maafisa wetu - ni kiasi kidogo sana, unapolinganisha na dhamana wanayoitoa.

Pia kuna ukweli mwingine kuwa tunahitaji kupanga future kwa miaka mingi zaidi (vision) maana hizi taasisi huwa hazikurupuki. Wanafanya studies (au wanazingatia studies) kufanya maamuzi yao. Hivyo wasomi wetu wanapaswa kunyanyua vichwa na kuangalia mwanga zaidi badala ya kuinamia kuangalia matumbo yao.
 

ndg yangu hata watu kama Rockfeller huwa hawatajwi kwenye list ya matajiri wakubwa duniani lakini hao kina carlos slim wanaotajwa huwa hawafikii hata nusu ya utajiri wa akina rockfeller!sasa usishangae SOAS kutokuwapo kwenye list ya vyuo bora duniani,that's the best way to divert the unwanted.......!dunia ina mambo hii!nikasonge nguna yangu nile mie!
 
Haya mambo hayo siye bado tumekalia na Wakina JB,ndio nani?
 
....Mnawashangaa CROWN AGENTS; mbona hamuwaulizi McKINSEY CONSULTANTS waliyekuwapo IKULU YA MAGOGONI tangu hatujapa uhuru hadi Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani 1985!
 
The confessions of Economic Hit Man (EHM). Ni bonge la kitabu ambalo limewachana washkaji wazi wazi na global empire yao. siku moja nitakiweka hapa jamvini

Ninacho soft copy ni kizuri sana
 
Mtu akikunyima elimu kakunyima mengi.Bila elimu huwezi jua haya.Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…