Je unawashauri nn wadogo zako

pottasium

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
91
Reaction score
5
Kesho ndio 4m 2 wananza necta ya kwanza ktk maisha yao ya secondary je ww unawashauri nn?
 
aha,hakuna kubahatisha,kama hukusoma basi ujue utavuna ulichopanda,kama ulisoma basi subri mabanda,pia ondoa stres ,sali kwa bidii
 
wakae wakijua wastani umeongezeka. hivyo kupita hapo kama hakujiandaa asisubiri miujiza.
 
Form four failure....!!
ni kutokujuana tu mdogo wangu kunakokufanya uandike hivo.....hata hivo nimekusamehe bure...kila la kheri katika maisha yako ya chuo...kwa vitabia ulivovionesha humu JF sitoshangaa sana nikisikia umebakwa huko chuoni
 
Vitoto vya siku hizi havijisomei bwana. kutwa facebook na whatsapp
 
ni kutokujuana tu mdogo wangu kunakokufanya uandike hivo.....hata hivo nimekusamehe bure...kila la kheri katika maisha yako ya chuo...kwa vitabia ulivovionesha humu JF sitoshangaa sana nikisikia umebakwa huko chuoni

Acha dharau bwana mdogo...

Usidhani wewe ndio kamusi ya matusi na kejeli....

Rekebisha tabia yako,usidhani ni uungwana na ustaarabu kukashifu wenzako...

Haujafika popote kijana,bado una milima na mabonde na daraja lenyewe ndio sisi...

Ndio namalizia hivi;
Acha dharau....
 
wakumbuke kumtanguliza mungu kwa kila jambo. Wafanye maombi kabla ya mtihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…