Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,501
- 4,226
Mimi ni Nurse mwajiliwa mpya, nilivyo ajiriwa nilipangiwa kituo ambapo ambapo ni school nurse sasa katibu wangu akaanza nipigia sim mara kwa mara ananisalimia basi siku moja nikaongea na rafiki yang ambae tuliajiriwa pamoja nikamwambia baadae nahitaji kuja kuhama kituo lakini sio mda huu sasa baada ya hapo kumbe stori imefika kwa viongozi wakaniuliza Grau unataka kuhama kituo?
Nikamjibu ndio lakin si sasa lakin tulikubaliana kuwa nikitaka kuhama niandike barua basi baada ya mda kwenye kituo wakaleta MAT alafu katibu ananilazimisha nikaandike barua ya kuomba kuhama na mm nimegoma kwani kwa sasa sikuwa tayari sasa ndio nauliza je' naweza andikiwa barua ya kuhamishwa bila disturbance allowance?
Au ndio nitahamishwa endapo nitaandika hiyo barua ambayo wanani force nikaandike?