Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu video ya dakika 15 sio fupi. Kwa maelezo uliyotoa hapo utashangaa umeshoot scene zako zote ukawa hujatumia hata nusu ya huo muda. Anyway, video haiwezi kuwa miniseries. Miniseries huwa zinakuwa na episodes kadhaa.Je utazingatia nini katika ku-shoot kama unatumia simu ya kawaida tu?
UPDATES
Ni simulizi fupi kuhusu athari za matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto (teenagers). Scenes zake ni tatu tu, scene ya kwanza ni sehemu ya shule ambako kuna wanafunzi wanaozungumzia walichokiona huko mtandaoni (Hapa ni convo ya wanafunzi watatu, convo hii haina hata dakika 3 inaishia kwenye dakika mbili).
Scene ya pili ni scene ambayo mmoja kati ya wale wanafunzi waliokuwa wakiongea shuleni anapita barabarani akiwa anajiuliza maswali kadhaa kuhusu alichokisikia kwa rafiki zake (wanafunzi wenzake). Baada ya kujishauri anaamua kuingia dukani na kununua vocha na kujipa moyo kwamba ataazima simu ya mama yake akimwambia anataka aangalie jambo fulani mtandaoni na mbeleni kuna scene ya mwisho kabisa