Je, unaweza kuandaa video fupi ya dakika 15 ambayo ni kama mini-series?

Kwa nini scene zako zijikite katika athari why usizielekeze kwenye namna bora kuwalinda watoto dhidi ya matokeo hasi ya social network, unaweza kutumia wazazi kupeana ujumbe namna ya kufatilia matumizi ya vifaa vya internet kwa watoto wao, Mfano kuinstall program (Apps) zitazofatilia matumizi ya vifaa hivyo kwa watoto.
 
Mkuu video ya dakika 15 sio fupi. Kwa maelezo uliyotoa hapo utashangaa umeshoot scene zako zote ukawa hujatumia hata nusu ya huo muda. Anyway, video haiwezi kuwa miniseries. Miniseries huwa zinakuwa na episodes kadhaa.

Ndio unaweza kushoot kama una simu nzuri. Changamoto itakuwa kwenye audio. Nakushauri uwe na professional audio kit. Video yako ni dialogue driven, sauti lazima irekodiwe vyema. Ukiwa na footage na audio nzuri mengine yote yanarekebishika kwenye post production.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…