Je, unaweza kuangalia ramani kwenye system ikiwa unaijua block No na Plot No?

Je, unaweza kuangalia ramani kwenye system ikiwa unaijua block No na Plot No?

Joined
Mar 9, 2023
Posts
6
Reaction score
3
Habar wanajamii, poleni na majukumu, Matumaini yangu mnaendelea vizur kwa wale wenye changamoto mbalimbali poleni.

Naomba kuuliza kitu kimoja, Je ukitaka kupata raman ya sehem husika unaipataje, Na kwa kiwanja ambacho kina block No na Plot No, unawezaje kujua raman ya hilo eneo.

Naomba kuwasilisha

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Nenda kw Afisa ardhi WA wilaya yako atakufanyia unavyotak kikukwa ku.mpoza kidg Pes Sizan Kam inavuka 50k
 
Nenda ofisi za Idara ya Ardhi katika halmashauri ya Jiji/Mji/Manispaa au Wilaya unayokaa..
Waambie unahitaji Block Plan.
Ila lazima ukumbuke: Jina la Kata,Mtaa na namba ya Kitalu.
 
Back
Top Bottom