Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, unaweza pata UKIMWI kwa kushika Kondomu iliyotumika na mtu aliyekuwa na ugonjwa wa UKIMWI bila kuvaa gloves au precaution yeyote?
kama unamichubuko mwilini mwako na majimaji ya manii yaliyotoka kwenye condom yatagusishwa katika michubuko hiyo kuna uwezekano ukapata ukimwi. kama unafanya kazi katika guest house hakikisha unatumia gloves kushika vitu hivyo.