babu chodo
Member
- Apr 1, 2014
- 90
- 23
Naombeni ushauri, nina dada yangu ana miaka arobaini na tatu ana mtoto mmoja ana miaka kumi na tano.Mume wake alifariki,sasa amepata mume anataka kuzaa nae.Je, kiafya ni sawa?