Hakuna cha lower au upper second, unaweza kusoma tu. tafuta pesa peleka unasajiliwa na andaa nyingine kidogo kwa walimu. Unapata digrii yako fresh. Ukitaka ya haraka haraka ni pale OPEN University, ni open kweli kweli. Elimu Tanzania imekufa ndugu zangu, tujaribu mambo mengine kv. kuchunangozi, kuua albino,kunywa maji nakudai ni dawa huko Loliondo. Eti hilo ni taifa karne ya 21