Je unaweza kuchukua degree yoyote kama form four ulipata pointi 30?

framoka

New Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Habar wa dau wote, kama mada inavyojielezea hapo juu je mtu anaweza kuchukua degree kama cheti chake cha form four kina pointi 30 kwa maana kwamba alisoma certificate baadae akasoma diploma, je inawezekana? plz tupia comment yako kama unauelewa
 
Unaweza kusoma, cha msingi wewe tuma maombi tu tena chuo chochote hapa nchini na kwa aina yoyote ya degree. Ila kama kwenye dip una lower second itabidi uchague degree inayoendana na hiyo dip yako!
 
Hakuna cha lower au upper second, unaweza kusoma tu. tafuta pesa peleka unasajiliwa na andaa nyingine kidogo kwa walimu. Unapata digrii yako fresh. Ukitaka ya haraka haraka ni pale OPEN University, ni open kweli kweli. Elimu Tanzania imekufa ndugu zangu, tujaribu mambo mengine kv. kuchunangozi, kuua albino,kunywa maji nakudai ni dawa huko Loliondo. Eti hilo ni taifa karne ya 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…