Mwalupale
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,049
- 674
Pichani hapo ni bibi kizee anaitwa Emma Martina Luigia Morano kutoka Italy. Ndio mwanamke mzee kuliko wote duniani kwasasa. Amezaliwa mwaka 1899.
Kwasasa ana umri wa miaka 116. Je ukiambiwa mpige makofi kumi ya nguvu Ili upewe millioni 50 utaweza kuthubutu?