Ayo mawazo yako ukapimwe ubongomtu anachinjwa ndo itakuwa kumpa vibao vya maana anachezea kama kawa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]mtu anachinjwa ndo itakuwa kumpa vibao vya maana anachezea kama kawa.
Hivi Tukio La Kupatwa Kwa Mwezi Ni Saa Ngapi?.
Wape Sallamu Zao Hao Jamaa Wa Mbeya.Ni saa saba mchana wa leo kwa mujibu wa watu wa mbeya
Ok, Ngoja Nivute Muda.Kuanzia saa nne to saa 7
Ayo mawazo yako ukapimwe ubongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni saa saba mchana wa leo kwa mujibu wa watu wa mbeya
View attachment 401558
Pichani hapo ni bibi kizee anaitwa Emma Martina Luigia Morano kutoka Italy. Ndio mwanamke mzee kuliko wote duniani kwasasa. Amezaliwa mwaka 1899.
Kwasasa ana umri wa miaka 116. Je ukiambiwa mpige makofi kumi ya nguvu Ili upewe millioni 50 utaweza kuthubutu?