Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Habari Jamiiforums.
Mabibi na Mabwana,
Ombi langu kwenu ni hili.
Je Ninaweza kupanga mabanda ya Kufuga kuku Faida ikawepo?
Kuku ninaotarajia kuwafuga ni Kienyeji(Asili)
Mabanda kwa mwezi kodi ni takribani elf ishirini Fedha za Tanzania.
Kwa minajili hiyo Wadau mnanishauri vipi ili Nirejeshe Faida haraka ,Ukizingatia nyumba hizo ni za Kupanga kila mwezi yabidi nilipe kodi.
Kwenu Wadau.
Mama Joe Malila miss chagga

Last edited by a moderator: