Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
20,000 kwa mwezi ni sawa na 240,000 kwa mwaka. Nakushauri kama umejipanga vizuri fuga tu. wala sio gharama kubwa ukilinganisha na wanaochukua fremu kwa laki 5 na wanauza bidhaa za wenzao kwa udalali, ni deal. Cha muhimu niujue hesabu ya gharama zote pamoja na usimamizi wa huo mradi wako. na mimi natafuta hayo mabanda kama yanapatikana. Kila la heri
thanks dear ila na mie nimejifunzia hapa mengi kuhusu biashara, nimejaribu na nikafanikiwa. Stayblessed too.Mama Joe you are so special.Nafuatilia sana Threads za ufugaji kuku nakuona unavyojitahidi kusaidia. Barikiwa sana mama