Habarini..
Ikiwa wewe ni muhitimu wa kidato cha sita, diploma au degree na unamudu kufundisha basic mathematics O- level, Na hujaajiriwa...
Nitafute inbox

Kwa nini Inbox mkuu? Mhhh. Huko sirini hatutapigika?
By the way, mimi najitolea kufundisha BURE lakini hapa hadharani au Jamvini i.e. kwa kutumia njia ya Mtandao.
Sihitaji malipo - nawapenda vijana wangu.