Je, unaweza kufunga sports rims size 20 ktk Toyota Mark X?

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
657
Reaction score
514
Habari zenu Wakuu,

Naomba kuuliza. Je sports rims size 20 ikiwa na tyres size 225/35/R20 unaweza kufunga ktk gari aina ya Toyota Mark X baada ya kuiinua kwa kuweka 'spacer mm10' na iwe vema barabarani hata ukiwa katika mwendo mkubwa?

Naomba kupata ushauri kwa wataalam na mafundi wa magari

1. Nini madhara yake?

2. Nini hasara zake?
 
Madhara ni kuwa gari itapoteza balance tofauti na awali.
 
Habari zenu Wakuu

Hasara ni gari kuwa nzito na kuongez [emoji618] consuption
 
Madhara ni kuwa gari itapoteza balance tofauti na awali.
Kwa mfano kwa ss ina rims size 16 na kwa safari ndefu za Dar to Mwanza au Tunduma spidi ya juu hufika hadi 170km/h. Na inakuwa ipo stable kabisaa brbrn. Je ikiwa na rims size 20 spid hii ikifika gari itabaki stable?
 
Hapana, lazima itapoteza u stable wake tofauti na awali.
 
Je rims size 18 inapoteza hvhv?
Kuna website ya masuala ya rims na tyres nilijaribu ku-google nimeona recommendations hizi
20201026_151533.jpg
 
Back
Top Bottom