uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Nahitaji mwongozo wa hili bila kujali nina gari au sinahongera mkuu unayochombo
Nini madhara yake kiufundiInawezekana boss ila Rim ya hyo gari mwsho size 18 ndio inakaa vizuri na ni low profile 225/45RZ/18 ukiweka Rim kubwa zaidi ya hapo tairi itakia nyembamba sana road za bongo si unazijua
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Hakuna madhara ila tu usipite rough road au ukavaa shimo Rim lazma ipindeNini madhara yake kiufundi
Hasara ni gari kuwa nzito na kuongez [emoji618] consuptionHabari zenu Wakuu
Naomba kuuliza. Je sports rims size 20 ikiwa na tyres size 225/35/R20 unaweza kufunga ktk gari aina ya Toyota Mark X baada ya kuiinua kwa kuweka 'spacer mm10' na iwe vema barabarani hata ukiwa katika mwendo mkubwa?
Naomba kupata ushauri kwa wataalam na mafundi wa magari
1. Nini madhara yake?
2. Nini hasara zake?
Kwa mfano kwa ss ina rims size 16 na kwa safari ndefu za Dar to Mwanza au Tunduma spidi ya juu hufika hadi 170km/h. Na inakuwa ipo stable kabisaa brbrn. Je ikiwa na rims size 20 spid hii ikifika gari itabaki stable?Madhara ni kuwa gari itapoteza balance tofauti na awali.
Kivip uzito unaongezeka?Hasara ni gari kuwa nzito na kuongez [emoji618] consuption
Balance itapoteaKwa mfano kwa ss ina rims size 16 na kwa safari ndefu za Dar to Mwanza au Tunduma spidi ya juu hufika hadi 170km/h. Na inakuwa ipo stable kabisaa brbrn. Je ikiwa na rims size 20 spid hii ikifika gari itabaki stable?
Huli laweza kutatuliwa vp balansi isipotee
Hapana, lazima itapoteza u stable wake tofauti na awali.Kwa mfano kwa ss ina rims size 16 na kwa safari ndefu za Dar to Mwanza au Tunduma spidi ya juu hufika hadi 170km/h. Na inakuwa ipo stable kabisaa brbrn. Je ikiwa na rims size 20 spid hii ikifika gari itabaki stable?
Je rims size 18 inapoteza hvhv?Hapana, lazima itapoteza u stable wake tofauti na awali.