koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 981
- 1,606
Kwa wale wanywaji siongelei walevi,
Hivi unaweza kukaa siku ngapi hujatupia hata bia mbili? Maana mimi leo tokea naamka pale kitandani niliapa kuwa sinywi tena mpaka siku ya sabasaba, lakini mpenzi msomaji huwez amini nimetoka kazini hata home sijafika nimepitia grocery hapa niko bia ya pili niko nawaza niongeze ya pili au vipi.
Jamani haya ni mapepo au niaje?