Ongeza tu mzee, afu ukifika home unalala, ukiamka bia zimekata, unenda tigo pesa/pesa/a.money, unatoa pesa unaenda kuongeza stimu za jioni, raha sanaaaaaaaaaaaa..........Unakunywa mchana? Uko vizuri aiseee......Siku ingine ukisikia hamu ya kupiga vitu, Nunua kukuyako ya kienyeji, pelekea familia ikale......Pombe sio pumzi