Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kumekuwa na tabia kwa baadhi ya mawakili kuwatapeli wananchi kwa sababu ya kutojuwa sheria na mawakili hawa kuutumia umbumbumbu wa sheria wa wananchi kuwafanyia matendo ya dhulma badala ya kuwapa elimu.
Sasa nauliza TLS wana kitengo kama una malalamiko na uadilifu wa wakili fulani kwenda kumshtaki kwenye hiki chombo chao?
Najuwa vizuri hawa jamaa wanaitana learned brother kwahiyo lazima kuna kulindana ila nataka kujuwa utaratibu ukoje wa kumstaki wakili tapeli anayetumia taaluma yake vibaya?