Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ndugu yangu kodi ya nyumba inawasumbuwa watu ndio uwaambie kumlipa kila mwezi personal lawyer?Poleni mno kwa waliofikwa na utapeli wa aina hii ndio maana ni vema sheria mama ikaandikwa upya, faida mojawapo tutapata judiciary iliyo huru, isiyoingiliwa kirahisi na politicians, mfumo huu utatupatia taasisi zinazojitegemea na hivyo kutoa nafasi wa kupata haki kutoka mahakamani ikiwa ni pamoja kumfungulia mashitaka yeyote including a president, kwa sasa ni ngumu maana TLS hawana recourse iliyohuru,next time ingia mkataba na mwanasheria ili awe personal lawyer wako, una kesi au hauna kila mwezi unamlipa.
Ndio maana kuna mtu alitufanya watanzania kuwa mazuzu (definitely mimi sio zuzu),unahitaji uwe na GP wako, mwanasheria wako, bond man wako etc etc ndiko dunia inakoelekea mkuu!,pls usiwe zuzu nawe..ona politicians wanaokutawala matibabu yao India, uk au milpark jhb!wewe Amana dispensary!Ndugu yangu kodi ya nyumba inawasumbuwa watu ndio uwaambie kumlipa kila mwezi personal lawyer?
Huyo Mshikaji anazani system za Europe na Africa zipo! Tanzania kupata ugali wa siku tu mtihani, ndiyo uwe unamlipa Mwanasheria kila mwezi kisa kua na personal lawyer!!?Ndugu yangu kodi ya nyumba inawasumbuwa watu ndio uwaambie kumlipa kila mwezi personal lawyer?
Kumekuwa na tabia kwa baadhi ya mawakili kuwatapeli wananchi kwa sababu ya kutojuwa sheria na mawakili hawa kuutumia umbumbumbu wa sheria wa wananchi kuwafanyia matendo ya dhulma badala ya kuwapa elimu.
Sasa nauliza TLS wana kitengo kama una malalamiko na uadilifu wa wakili fulani kwenda kumshtaki kwenye hiki chombo chao?
Najuwa vizuri hawa jamaa wanaitana learned brother kwahiyo lazima kuna kulindana ila nataka kujuwa utaratibu ukoje wa kumstaki wakili tapeli anayetumia taaluma yake vibaya?