Mdada alikua amemiss tu show za ex wake.
Huenda huyo ex ndie aliempiga kibuti huyo dada, baada ya ex kuamua kurudisha majeshi bidada ndio akaamua kutunga huo uongo kwa currently man wake.
Aaah,anampoza tu hamna cha kutishiwa wala nini,miaka sita yote alafu uje kutishiwa maisha leo
Ni kwamba mdada ametafuta sababu ili tu jamaa asijinyonge make miaka sita si haba