Je unaweza kupata leseni bila ya kuwa na namba ya NIDA

Je unaweza kupata leseni bila ya kuwa na namba ya NIDA

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
Habari wakuu

Je inawezekana kupata leseni ya udereva kwa mara ya kwanza bila ya kuwa na namba ya NIDA, maana nimesikia kwamba unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa lakini sina uhakika, je kuna mtu amewahi kupata leseni bila ya kuwa na namba ya Nida ?

Nguvu moja [emoji881]
 
Wewe unahaingaika bure, mwalimu wako wa udereva anatakiwa akupe utaratibu wa kupata lesseni, ila kama ni lesseni ya kuweka nyumbani kama cheti cha kuzaliwa ni sawa.
 
Wewe unahaingaika bure, mwalimu wako wa udereva anatakiwa akupe utaratibu wa kupata lesseni, ila kama ni lesseni ya kuweka nyumbani kama cheti cha kuzaliwa ni sawa.
Nilikuwa na wasiwasi tu kwakuwa sina namba ya NIDA
 
Nilikuwa na wasiwasi tu kwakuwa sina namba ya NIDA
Udereva unasoma wapi?
Tafuta namba ya NIDA ni muhim sana, na sikuizi sio kitu kigumu..

Huna haja ya kukaa kusubiri na kurudishwa, sikuizi hakuna huduma ya serikali utapata bila namba ya NIDA...

Kuhusu lesseni sina hakika kama ni requirement, zamani kidogo ilikuwa ni TIN no na chet ulichosoma udereva wako.
 
Taratibu za kupata namba ya nida NIDA zipoje mkuu ?
 
TIN number ninayo nauliza kama naweza kupewaeseni bila nida

Unauliza humu tena! Nenda TRI kaombe leseni watakachokuomba wape, na sio kuwaliza eti lazima niwe na likadi la nida ndio mtanipa leseni!
 
SAMAHANINI WADAU NIKO NJE YA MADA KIDOGO, NIWAPE HUDUMA HII, WADAU UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,

nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)

Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921

JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat( angalia chat kwenye dp yangu )
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

Ukikamilisha nifahamishe !
 
Back
Top Bottom