Ukiwa na TIN ushapata leseni. Ongea na watu.TIN number ninayo nauliza kama naweza kupewaeseni bila nida
Sijasema ivo. Nenda TRA iliojirani unaoata leseni. Elfu 70 tu.Kwamba nahitaji kuhonga au ?
Wewe unahaingaika bure, mwalimu wako wa udereva anatakiwa akupe utaratibu wa kupata lesseni, ila kama ni lesseni ya kuweka nyumbani kama cheti cha kuzaliwa ni sawa.Habari wakuu
Je inawezekana kupata leseni ya udereva kwa mara ya kwanza bila ya kuwa na namba ya NIDA, maana nimesikia kwamba unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa lakini sina uhakika, je kuna mtu amewahi kupata leseni bila ya kuwa na namba ya Nida ?
Nguvu moja [emoji881]
Udereva unasoma wapi?Nilikuwa na wasiwasi tu kwakuwa sina namba ya NIDA
Taratibu za kupata namba ya nida NIDA zipoje mkuu ?Udereva unasoma wapi?
Tafuta namba ya NIDA ni muhim sana, na sikuizi sio kitu kigumu..
Huna haja ya kukaa kusubiri na kurudishwa, sikuizi hakuna huduma ya serikali utapata bila namba ya NIDA...
Kuhusu lesseni sina hakika kama ni requirement, zamani kidogo ilikuwa ni TIN no na chet ulichosoma udereva wako.
TIN number ninayo nauliza kama naweza kupewaeseni bila nida
Ingia,, eonline.nida.go.tzTaratibu za kupata namba ya nida NIDA zipoje mkuu ?