Je, unaweza kushare mtaji wa biashara na mpenzi wako?

Je, unaweza kushare mtaji wa biashara na mpenzi wako?

Mdau tu

Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
22
Reaction score
22
Mwanaume nina swali ndugu zangu ivi unaeza ukashare mtaji na mchumb wako kufungua biashara yoyote? Na kama ukiweza unaeza unatumia mikakati gani ili usichanganye mapenzi na biashara
 
Sio risk ikiwa utaamua kutenganisha biashara na mapenzi. Usimuweke kwakua ni mpenzi muweke kwenye biashara ikiwa anastahili kukaa hapo kwenye hiyo biashara. Kama mnashare capital muweke makubaliano mtaendeshaje biashara na mtashare profit namna gani!
 
kama ananyota nzuri ya biashara we muweke tu
 
utalia kuliko king’ora 😂😂na hata ukisema usimamie wewe huyo mchumba jawezi kubali labda kama ni zumbukuku ulimwengu uko huku
 
Inawezekana

20240528_170412.jpg


Matembele/SalivaFront
 
utalia kuliko king’ora [emoji23][emoji23]na hata ukisema usimamie wewe huyo mchumba jawezi kubali labda kama ni zumbukuku ulimwengu uko huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom