Acha ujinga!komaa mwenyewe!Mwanaume nna swali ndugu zangu ivi unaeza ukashare mtaji na mchumb wako kufungua biashara yoyote? Na kama ukiweza unaeza unatumia mikakati gani ili usichanganye mapenzi na biashara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utalia kuliko king’ora [emoji23][emoji23]na hata ukisema usimamie wewe huyo mchumba jawezi kubali labda kama ni zumbukuku ulimwengu uko huku
we kuweza😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]