Jkt mnafundishwa nidhamu ya kijeshi, uzalendo, ukakamavu, elimu ya kujitolea na kutokukata tamaa baasi. Kama umepata bahati ya kuingia na professional yako nafasi za ajira kwenye vyombo vya ulininzi na usalama zikitoka utachukuliwa kwa uraisi tofauti na fresh from school ambaye hauna utaalamu wowote. NB: kama hauna utaalamu wowote na umri unaruhusu soma course yeyote unayoipenda ukimaliza apply jkt. Ila course muhimu ambazo ni easy kupata ajira ukiwa Jkt ni za afya, engeneering, uchumi, utawala, na ugavi.