Kutairiwa ni rahisi sana kwani ni kaoperesheni kadogo tu waweza fanya wakati wowote, ila ukumbuke kutoa Govi ni rahisi kimbembe ni ukitaka kurudisha govi lako, ndiyo maana mimi nasita sana kutoa Govi maana nimeisha lizoea
INA madhara mkuu,kwanza utapoteza damu nyingi wakati wa kutairiwa pili jeraha litatumia muda mwingi pasipo kupona hii ni kutokana na kudhoofika kwa viungo vya kwa uzee na pia itakupelekea kupata magonjwa mengne n.k