Kuna aina kadhaa za kufanya building estimates,,ni somo pana ngoja niwape mbili
1. ELEMENTAL ESTIMATES hii unakua na mchoro wenye details zote then inaandaliwa BOQ (BILL OF QUANTITIES) hio inakupa uhasilia wa makadirio ya ujenz up to 95%
2. SUPERFICIAL AREA ESTIMATES, Hii ndio aina nyingine ambayo wewe itakufaa zaid pia itakupa jibu lako pia hata serikali hupenda kuitumia katika kufanya preliminary building estimates,, hapa fanya kuchukua square meter zako unazo fikiria kujenga zidisha kwa cost per square meter value
NOTE.: kila aina ya jengo, mahali litakapo jengwa, Purpose ya jengo Hilo ina cost/square meter value yake. Chart hio ya ya cost per square meter hio apo [emoji116][emoji116] chini msikariri lakin Tano tu.
Cathbert Swai - Quantity Surveyor[emoji1666]