Je, unaweza kutumia cheti Cha uwalimu kusoma course nyingine tofauti na Ualimu

Je, unaweza kutumia cheti Cha uwalimu kusoma course nyingine tofauti na Ualimu

Muddy105

New Member
Joined
Jul 16, 2023
Posts
3
Reaction score
2
Je unaweza kutumia cheti Cha Ualimu kusoma course nyingine tofauti na Ualimu nani course zipi hizo
 
Career ≠ Carrier
Wa Jukwaa la jobless utumishi nauliza,
Bwana Muddy unacheti cha ngazi ipi na ungetaka kusoma nini ^KP
 
Inawezekana, ingia kwenye tovuti husika ya chuo uone kozi unayohitaji.
 
Back
Top Bottom