Je, unaweza kutumia mbao za kituruki (MDF) kutengeneza milango ya nyumba?

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
968
Kuna hizi mbao (artificial) zinaitwa MDF boards. Je, unaweza kuzitumia kutengeneza milango ya nyumba/hasa ya vyumbani? Je, katika pitapita zako katika majumba ya watu au katika viwanda vya useremala..umewahi kuiona milango ya MDF. Vipi uimara wake?

Picha ya MDF board nimeiambatanisha

prelaminated-mdf-board-500x500.jpg
 
MDF ni nzur ila kwa mlango apana kwan syo imara kwanz maji yakigusa ina vimba chap japo ikipigwa sanding sealer na rangi ya kupulza hayapeny.Bodi hizo nazkubal kweny furniture kama:kabat,meza,viti (lazma miguu iwe ya mbao)ila mlango binafsi sijawahi kuona pia siwez weka mlango wa aina hii hata kitanda cha MDF sikiamin sana japo mimi nmefunga pannel ukutan zkafungwa taa na switch zake tu ila kitanda ni kingne.
 
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Nashukuru sana mdau Full charge.
 
Bora utumie marine au plywood ya 18mm
 
Back
Top Bottom