Nashukuru sana mdau Full charge.MDF ni nzur ila kwa mlango apana kwan syo imara kwanz maji yakigusa ina vimba chap japo ikipigwa sanding sealer na rangi ya kupulza hayapeny.Bodi hizo nazkubal kweny furniture kama:kabat,meza,viti (lazma miguu iwe ya mbao)ila mlango binafsi sijawahi kuona pia siwez weka mlango wa aina hii hata kitanda cha MDF sikiamin sana japo mimi nmefunga pannel ukutan zkafungwa taa na switch zake tu ila kitanda ni kingne.
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app