ukiwa na malengo Radio ya mitandaoni kuna faida mno , mi binafsi radio yangu ina mwaka sasa inasikilizwa mno,namatangazo pia napata ,ukiwa na plan radio itakuinua mno sioni tofauti kati ya kumiliki youtube na online radio ni ngumu zaidi kuliko youtube