Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Habari wanajamvi?
Sasa hivi hii tabia ya usomaji wa plate namba imeshamili au tuseme imekuwa kama amri fulani hivi. Mtu akipishana na mdada lazima ageuke asome plate namba, ikitokea umemzuia kwa namna moja au nyingine atakukasirikia utadhani umekosesha asipate millioni hivi. Ajali nyingi sana hutokea mjini kisa ni madereva kusoma plate namba na kushtuka wapo nje ya barabara au wamegonga, tena siku hizi hata wadada nao wanasoma plate namba za wenzao, sijui nao wanataka nini?
https://encrypted-tbn0.gstatic.com/...Hl4qJJXM3Tjkg_bkx6r5XmIezGsz2jRU8VweWAADxDjog
https://encrypted-tbn0.gstatic.com/...uhQbg1kRMd9s4qH1zL5nDBrvRnQ4gDvXkOTBpaiEWs5MM
Je kwa maisha haya ya sasa unaweza ukatembea mjini ukapitana na mdada bila kusoma plate namba?