Habari wadau?!!
Niko kwenye hatua ya kupaua kakibanda kangu,changamoto niliyopata mara ya mwisho (2016) no kuuziwa mabati ya mgongo mpana a.k.a msauzi yaliyokuja kupauka ndaniya miezi6 tu kutoka kwa supplier mkubwa tu wa kihindi.
Sasa ninakaribia kupaua tena kibanda kingine,napenda kuweka bati ya jamii ya kigae-versatile sasa naomba mnisaidie wale wazoefu na kampuni ya mabatiya waja kwani naonabei yao sio mbaya ambapo no shs 48,000 kwa bati moja huku ALAF bati zao wakiziuzakwa shs 52,500/= kwa bati moja,hali inayonifanya kutafuta kampuni mbadala.
Naomba kujuzwa, je hayapauki upesi? Ni imara?
Uzoefu wenu tafadhali wadau