Naunga mkono hoja. ALAF baba lao. Huko kwingine tusije kulaumiana!Rahisi siku zote ni gharama mkuu, kwa upande wa bati mpaka dakika hii ALAF Limited bado hajapata mbadala, huko kwingine ni janjajanja tu mwisho wa siku utaishia kulia
Huo mbadala wa ALAF unaoutafuta ndio utakuja kulia nao.. Ongeza pesa mkuu chukua mzigo wa ALAF utakuja kushukuru baadaeHabari wadau?!!
Niko kwenye hatua ya kupaua kakibanda kangu,changamoto niliyopata mara ya mwisho (2016) no kuuziwa mabati ya mgongo mpana a.k.a msauzi yaliyokuja kupauka ndaniya miezi6 tu kutoka kwa supplier mkubwa tu wa kihindi.
Sasa ninakaribia kupaua tena kibanda kingine,napenda kuweka bati ya jamii ya kigae-versatile sasa naomba mnisaidie wale wazoefu na kampuni ya mabatiya waja kwani naonabei yao sio mbaya ambapo no shs 48,000 kwa bati moja huku ALAF bati zao wakiziuzakwa shs 52,500/= kwa bati moja,hali inayonifanya kutafuta kampuni mbadala.
Naomba kujuzwa, je hayapauki upesi? Ni imara?
Uzoefu wenu tafadhali wadau
Naunga mkono hoja, Hawa wachina nlkua nawatilia Sana mashaka.Bomba Bati nayo iko vizuri kwa ambaye Hawezi kufikia Bei ya Alaf ,mwaka wa Tatu mm ipo vizuri .Tantu/ Bomba Bati
Kwa ushauri wangu jipinde uchukue ALAF tu hutojutia.Habari wadau?!!