Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Seriously ?Ukiona roho inauma kumchangia mchungaji anunue gari mkuu usitoe, lakini tulio na amani mioyoni tutawachangia wachungaji wetu wanunue magari na majumba hata kama sisi hatuna
mkuu mbn unakua defensive hivyo as if nimetoa shutuma?we umeuliza km tunayajua wanayopita wachungaji nami nimeuliza km wachungaji wanajua tunayopitia waumini mkuu just thatSasa mkuu kuhusu mizigo kwani tunalazimishwa kutoa?maana hata kwenye maandiko hawajasema kutoa sadaka ni lazima lakini wamesema kutoa sadaka ni moyo,ukiwa na moyo wakutoa utatoa hautoangalia hayo mapito unayoyapitia,kutoa ni moja ya Ibada mkuu
hilo ni jambo la farajaNdio wanajua tunayopitia na ndio watu pekee tunaowaambia mapito yetu, wanatushauri, wanatuombea na wakati mwingine wanagharamika ili kutatua changamoto zetu
mkuu mbn unakua defensive hivyo as if nimetoa shutuma?we umeuliza km tunayajua wanayopita wachungaji nami nimeuliza km wachungaji wanajua tunayopitia waumini mkuu just that