Je, unayajua haya kuhusu Bolt au Uber?

Je, unayajua haya kuhusu Bolt au Uber?

MalumeNdago

Member
Joined
Jan 8, 2018
Posts
17
Reaction score
19
Habari,

Je, unajua wapi naweza kupata msaada wa kupata uwezekano wa usajili wa Bolt na Uber. Nime download app ila shida ipo kwenye leseni na kazi ya gari. Vyote ninavyo ila vile vyenye vigezo sina. Naomba msaada juu ya hili.

Help a friend
 
Tafuta Documents Original Kwa Njia Hiyo Uliyoitumia Ndiyo Inavyotakiwa
Kuna Jamaa Aliweka Attachments Za Documents Zake
Ikawa Shida Hajibiwi Maombi Yake Akawaandikia Email



*Huwezi Kumpa Mtu Akakuombea Unatakiwa Ufanye Kupitia Application Yao
 
kinacho hitajika ni vigezo tu...kama unavyo hakuna aja ya kumtafuta mtu wa kukusaidia...na kama huna vigezo hakuna mtu anaweza kukusaidiA.

Farasi kipindi wanaanza kusajili watu walikuwa wanasajili hata wasio na vigezo.

ila hiyo mitandao ya kigeni wapo systematic sana bila kutimiza vigezo huwezi kupata account...

labda utumie document za gari la mtu mwingine kufungulia account...

 
Back
Top Bottom