Je, unajua wapi naweza kupata msaada wa kupata uwezekano wa usajili wa Bolt na Uber. Nime download app ila shida ipo kwenye leseni na kazi ya gari. Vyote ninavyo ila vile vyenye vigezo sina. Naomba msaada juu ya hili.
Tafuta Documents Original Kwa Njia Hiyo Uliyoitumia Ndiyo Inavyotakiwa Kuna Jamaa Aliweka Attachments Za Documents Zake
Ikawa Shida Hajibiwi Maombi Yake Akawaandikia Email
*Huwezi Kumpa Mtu Akakuombea Unatakiwa Ufanye Kupitia Application Yao