kabla ya hapo mjerumani naye alikuwa na zake
http://www.crwflags.com/FOTW/FLAGS/tz_gea.html#geac
Watanganyika kwangu huwa nawachukulia ni watu wa ajabu kwa vile hawapendi kutajiwa taifa lao.Hupenda kujulikana kwa nicknames kama Tanzania π
Tokeo nizaliwe sijawahi kumsikia mtanganyika akiulizwa unatoka wapi, akasema mimi ni mtanganyika!...kuna hata utafiti unaonesha kuwa watanzania si wazalendo kabisa, nafikiria zitakuwa na relation tafiti hii π
Tatizo ni kwamba wengi tumezaliwa baada ya uhuru, na baadhi ambao ni wengi pia ni baada ya Muungano! Kwa hiyo hatuijui hiyo Tanganyika inafananaje, ndio maana tunatafuta data zake kwenye mtandao! Hata hivyo it doesn't make any difference kuitwa Mtanganyika, Mtanzania! Je, tukijiita Watanganyika ufisadi utaisha, umaskini utaisha, etc?
Kyuna haja ya kudai nchi yetu ya tanganyika
Kyuna haja ya kudai nchi yetu ya tanganyika