Je unazijua sura za wanaume?

Firstlady huu muda Today 02:23 AM wakati unaposti hii thread sijui ulikuwa unafanya nini lol

usingizi ulimwisha ndo maana akaanza kuwaza sura nzito,ngumu sijui chachu kama ukwaju LoL
FL acha vituko
 
yap najua sura za mwananme mmoja tu,ni mpole,mcha Mungu, anaupendo wa dhati,mvumilivu ananipenda na nina mpenda sana nyengine wanaume wengine sijui sura zao coz siwaangalii
 


1ST lady unaoneje ukitupa quliities za shem kama yupo, labda ndo tuweze sema yeye yuko kundi gani ......
 
Unajua maana ya kila sura? Tufafanulieni jinsi kila sura hiyo ilivyo ili tujue tuna sura gani.
labda sura chachu ndio najua kidogo kwamba hujengeka kutokana na jazba za mara kwa mara,ukali,gubu na mengineyo ambayo hupelekea sura kuchachuka kutokana na muda mwingi kutokuwa na furaha na badala yake maugomvi ugomvi tu.
zaidi napenda kufahamu kwa wanaojua kwani nimeyasikia haya zaidi ya mara mbili
 
Firstlady huu muda Today 02:23 AM wakati unaposti hii thread sijui ulikuwa unafanya nini lol
jamani we TF unadhani nilikuwa wapi mida hiyo?au waddhani nilikuwa nafanya nini zaid ya kushika laptop tu?kwani we unasura gani?
 
ni kweli mi nakuunga mkono japo sijafanya official research lakini hii kitu ipo kabisa...kuna baadhi ya wanaume kulingana na tabia zao kama ulevi, umalaya, ukatili n.k ukiwaangalia sura zao kama unaweza kugundua kuwa wamefall katika tabia fulani kutokana na kudumu kwa muda mrefu katika tabia husika, na kama unajua phsycology hata wakati wa kuzungumza nae unaweza kutambua huyo mtu anatabia fulani...mimi personally naweza kutambua tabia ya mtu ninapokutana nae kwa mara ya kwanza wakati nikimtazama sura yake...anaebisha aje nimwambie lol:A S-baby: n.k ...
 
Unafanya nini hadi saa 2:23AM? Kwani President yuko kundi lipi?
hahaha....mwanaume asifiwi kwa sura na yawezekana president akawa na sura ngumu lakini mkarimu na mwenye mvuto wa ndani.nachotaka ni kujua tofauti tu ili nimpime na presidaa kabisa nijue.bytheway mida hiyo niliishiwa usingizi kabisa
 
Orite....ulikua unatafiti sura?

!.........NEVER TRUST A MAN EVEN A DEAD ONE........!

hahaha......hiyo haaingiliani kabisa na swali langu.kwanza kwani we sura yako ni ipi?kama unayafahamu haya nijuze tafwadhali
 
hahaha......hiyo haaingiliani kabisa na swali langu.kwanza kwani we sura yako ni ipi?kama unayafahamu haya nijuze tafwadhali

Hebu njoo pm basi.....kwani hii :thinking: ni sura gani kati ya ulizotaja?
wewe chaguo lako ni ipi?
 
Mbona kuna wanawake wanasura chachu,sura ngumu sura mbaya km ww unaesoma hap sshv ee ww ndio!
kama unajua wapo si ungeandika sredi tungeichangia.acha kutukana watu kama huna cha kujibu si lazima.kwani nimesema wanaume ni wabaya mpaka uwatukane wanawake wote.soma uelewe kuliko kukurupuka na kama umeguswa pole.
kwa taarifa yako mwanaume asifiwi sura
 
wajina mie nayasikia kwa watu tu na nilikuwa sijui kama hizo sura chachu yawezekana ni kam ukwaju
usingizi ulimwisha ndo maana akaanza kuwaza sura nzito,ngumu sijui chachu kama ukwaju LoL
FL acha vituko
 
1ST lady unaoneje ukitupa quliities za shem kama yupo, labda ndo tuweze sema yeye yuko kundi gani ......

mmh! ni bora tu ningezijua ndio nijue kabisa kundi lake kuliko kuweka hapa kumbe akawa na sura chungu.ila mwanaume asifiwi kwa sura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…